
Niaje MESHers!! 😎New Month, New Day, New Opportunities!💪🏿 Leo nadai tujengane na #Saving Tips. Kama youth, what are some of the #Tips unatumia ku-save⁉🤔🤔Doesn't matter kama ni 50 bob, 100 bob ama 200 bob a day! End goal ni ku-make sure ukona maximum savings!!!💯
Hapa kuna tips to remember while saving 👇🏿
⏩ Tengeneza #Budget. Kutengeneza na ku-stick to budget yako ni njia muhimu sana kama youth ku-save money. Hii haimanishi usi-have fun milele.
⏩ Usingoje ku-save na ku-invest. Ku-save na ku-invest inaezakua challenge saa hii, lakini ku-save pole pole kila siku, month ama mwaka inaezakuwa na impact kubwa sana kwa maisha yako na kwa biz.
⏩Anzisha #EmergencyFund. Hii fund hu-sort msee time ako kwa harship ama life imekupiga chenga. MESHers wengi husahau sana ku-save for hii purpose. Sometimes #Job huisha ama biz huenda down so ni important kukuwa na something to fall back on.
⏩Jifunze #SelfControl. Don't spend more than you earn.
Share na #Community more saving tips/advice kwa comments🙂
#FormNiKujengana #SisiNiMESH
