
Niaje Meshers? Nimekam na tracker device ingine moja moto sana. Ni suitable kwa nduthi na dinga, device yenyewe haipotezi network na ni simple kuitumia. Ka unaidai nikal kwa 0742148978 tupige biz,shop location ni kasarani opposite powerstar supermarket.

0
0
0