
Niaje #Meshers.
Nimekuwa nikicheki hii story ya storage kwa movie shop is a real problem. Plus kuget a place ya kupata hizi movies ni ngori. So kutumia ujanja hapa na advice ya meshers pale, nimecheki a vile tunaeza leverage cloud storage.
Because wasee wengi hawana hizo expertize, nimefikiria kuunda a website enye wasee wa movie shops wanaeza pata latest movies pale ku load to customers na kwasababu hio webpage itakuwa inastore movies kwa cloud you don't have to worry about story na storage. Unapiga tu download na kuloadia customer after that unaeza clear space kwa machine yako.
But how feasible is this idea? Wasee wa movie shop mnaonaje hii maneno? Tubonge hapo kwa coments we find a solution together.

0
0
0