Niaje Meshers! 😄
Niwakumbushe tu...
Biashara ikianza kushika, usifanye hizi mistakes. 👇
1️⃣ Usichanganye pesa ya biashara na ya kwako.
2️⃣ Usitumie till kama wallet. "Nitairudisha baadaye." Hiyo ndio huanza kuharibu hesabu. 😂
3️⃣ Usiseme, "Nitarekodi baadaye." Baadaye ndio receipts hupotea.
4️⃣ Usingoje month-end ndio uanze bookkeeping. Dakika 15 kila Friday zinaweza kukuokoa stress mingi.
5️⃣ Na muhimu kuliko zote...
Usijaribu kufanya kila kitu mwenyewe.
Ukifika stage bookkeeping inakunyima time ya kutafuta customers na kukuza biashara, ni wakati wa kupata msaada.
Biashara hukua kwa systems.
Sio kwa owner kufanya kila kitu.
Ni ipi imekupiga direct? 😅👇
0
0
0