
Niaje Meshers, nmekua kwa hii game ya pencil and pen drawing for some time, and so far naeza sema its challenging sana. Kuna challenges mob, acha nimention just a few. Unaeza patana na msee ako na works kali uanze kujiona wewe hakuna kitu unajua. Unaona wewe sio good enough. Unaanza kujidharau na maybe msee mwenye unajicompare naye ni mtu ako na experience ya years. Sometimes unapata umeshikana na shugli hapa na pale, although unasahau uko na talent ya kuchora. Unasahau kupractice, Kama ulikua umefika advanced level, next time unashika that pencil and paper, unajipata kwa beginner level😂 #MESHCreatives #ContentCreation #ThursdayThrowback

0
0
0