
Niaje Meshers. Now Christmas ndo hiyo its only amost a month a way.
Wewe kama Art and Craft person umejipanga aje kumake dooh.
Hapa kuna ideas kadhaa.
- Decorative Christmas Charcuterie Board
- Days Until Christmas Display board
- Festive Earrings
- Santa Countdown Advent Calendar.
- “Something You Want” Gift Tags.
Remember mapema ndo best. Kukua na stock ready nifiti. 💯




0
0
0