
Niaje meshers!
Sahi vijanaa wanaibiana sana and this NOT GOOD.
Kupigana ngeta sio fiti remember kila msee ana struggle na venye hii situation iko, tupige mboka vile inafaa remember peace ndo solution ya kungana kama vijanaa, vurugu, kumadana, na chuki sio fiti kwa sisi vijanaa walai.
Kama inaweza unawesha share ndo atleast we create awareness 👍
#tujijenge na tujengane pia.

0
0
0