
Niaje Meshers, Sale tip ya leo ni lazima u grow a community in a service business juu hiyo community ndio inaleta income most kuliko wale wasee wa "nitakuja kesho". So lazima ukue na community poa yenye itahitaji service zako almost continually before starting the business. Kama msee wa delivery ya gas na maji community inamtegemea sana. #ShareSalesTipZako
0
0
0