
Niaje meshers.....so me nko na capital na nadai kuanza biz ya kuweka DStv...that is,live football matches....ebu guys help me na location moja fine naeza weka DStv na ushike,,nko na kila kitu but Sasa place ya kuweka huku nairobi ndio Sina...natafuta place fittie yenye wasee wanapenda kuwatch ball
0
0
0