
Niaje #MESHers the weekend is upon us! Na leo tunadai kuchapiana kuhusu story ya #Capital. 💰 Wasee wa #Community husema shida yao kubwa ikikaam kwa #Biz ni kukosa capital. Cheki hizi tips kutoka kwa #ShujaazBiz alafu tuchapiane kwa comments 👇👇
Form ni #Kujengana
0
0
0