
Niaje meshers:
This week nimecheki kuna idea poa sana, naeza share ili kujengana. I know mybe hiyo idea inaeza kua already iko but mybe msee anaeza implement side ingine ama a polish hiyo idea ikue moto kabisaa.
- KUUZA UJI MOTO:,
- so sahi kuna baridi and place poa ya kuuza hii uji moto ni kwa watu wa soko kama gikomba, muthurwa, town kwa makanga wakiwa wameboeka,
ukimanage kupika uji tamu sana then you suply masaa ya jioni ama ile time unaona iko fiti kwa customers wako, am sure itakua greate sana.
-
Uji moto itafanya hao sellers/customers wachangamke sana plus mimi hupenda uji I know the experience. ukiuza cup moja kama 20bob am sure profit itakua poa sana na itakujenga.
-
Think about it and draw the plan kwa ule mwenye anafeel ako jobless with only 4k am sure hii bizz utakua umeanza and sisi kama ma youth ni poa kujengana huku nje.
#TujijengeMeshers
0
0
0