
Niaje Meshers, umewaikuwa in any addiction while running a biz? iliaffect aje bizy yako na ulifanye aje kuchorea iyo addiction? here is my story So mi niliacha pombe last year, na imekuwa na benefits mingi, but nimekuwa na a kind of lonely life ever since, cause all my friends time wanameetingi up ni kupiga sherehe friday usiku, nilijaribu kumeet marafiki church lakini kusema ukweli hao wase sienjoy company yao, how do you guys do it?
0
0
0