Niaje Meshers wa Gikomba wenye mmekua affected na demolition. Kama MESHer mwenzenu na msee wa viatu pia, nataka tu kusema:
- Hustle yenu haijaanza na structure, ilianza na nyinyi
- Stock inaweza potea, lakini skills, roho ya kuamka tena, na jina mmemake kwa wateja bado ni yenu
0
0
0