
Niaje #Meshers wacha nichanue wasee wabiz. Jioni ukifunga biz kazi hukua kufanya mahesabu,kunatime ulisahau kurecord,kuna kuchukua stock ndio kesho utumane na bado hujajaza kitabu ya madeni. Kama unadai kusave on time and simply kazi za shop check this app #BiasharaBook on playstore. Biz yako ita grow cause utaanza kuoperate based on accurate and timely info ukiuza its all on your phone.


0
0
0