
Niaje meshers,wachane tujengane na tusaidiane...Hii ya poster challenge nko na tips kiasi na apart from kuparticipate qwa hii challenge pia nadai kuwaokolea na kuwajenga ata Kama maybe sitashinda but hope ntakua nawajenga.......Ndio izi tips apa down 1.ukiweka posters zako za biz ,weka place remote,azn place iko na wasee kibao ndio uweze kujimarket virahisi. 2.Avoid kujimarket na hizi makaratasi zenye watu wanapeana kwa Barbara,,,hii n kuchoma coz mostly wasee huzichukua na kuzitupa bila ata kusoma,,,,simply because many people washazoea ni za wale waganga mwitu,,,so utapata mtu anachukua tu for the sake alfu adi hatasoma 3.Ones in a while when unasema posters,kuwanga na discount...Sai na hii Economy, discounts zitakupea wateja virahisi Sana,,, mostly if kazi yako ni Safi 4.When marketing yourself,try Sana sana kutumia social media,that is,Kama uko na pesa enough ya kuuse Kama Tv kujimarket or kujiadvert,,hii n simple juh itafikia kila mtu,,,,,if pia Hauna pesa ya Advertising qwa tv,,,then use social media Kama Watsup, Facebook na If 5.Create links Alf share places Kama Watsup just kujiadvertise,,,hii n rahisi coz utatumia alot of groups na io n kujimarket 6In everything you are doing well God first na I know utafanikiwa Ni hayo tu na hope tutajijenga