Niaje MESHers. Wale mlipata message from NYOTA for physical verification leo. Process ina-take how long? What are they asking? Umefika place uliambiwa uende? Process iko aje?
Tuchanue.