
Niaje meshers, Wasee most hukuwa interested na computer services na vile unaeza leverage basic computer skills ku-make dooh online!🤔 In the coming weeks, kwa group ya IT and tech hapa mesh tutakuwa na series ya hustle kadhaa msee anaeza changamkia from data entry, graphics design to IT consultancy and make some passive income, don't miss out........ Kama unadai kuanzisha ama una-run biz ya computer services, tujengane kwa comments with tips ama maswali unadai kujibiwa.
0
0
0