Niaje meshers:Watu wenye wanauza socks mpya hizi za 30 na hizi panties za 50,60 na 100 mniambie kama huwa mnapata profit na capital ya kuanza ni ngapi? Ju ninatamani hiyo biashara,halafu mniambie Huwa mnazitoa wapi Ili niendee pia.