
Niaje Mimi naitwa Edu kutoka Diani hustle yangu ni cyber na nimekuwa kwa biz for 5 yrs so wakati wa covid business ilikuwa affected Sana coz tulikuwa tunategemea customers Wetu na walikuwa wamesafiri but wale walibaki Shujaaz ilicome through ikatupa Hand washing station na Dispensers so ilitusaidia kumake sure tunaosha mikono na kukeep distance na kusanitize so ilitusaidia Sana coz customers walitutrust Sana. So up to now we are still keeping the spirit of kuwa wasafi and thanks to Shujaaz
0
0
0