Niaje, naitwa Don. Niko kwa group flani huku mtaani na tunahitaji ku apply loan ya 100k. So tunadai any ideas ya biz inaweza tulea na kurudisha hiyo doo ya wenyewe.