Niaje naitwa Jackie, nilikua nataka kuanza biz ya Mpesa... Nilikua nauliza kama kuna anyone anajua kama iko na profits poa