Niaje. Naitwa Koina na me biz yangu ni ndogo bado na ni ya manguo . Nimeianza last year November nikiuza mitumba na sahii nadai kuingia kuprint na pia kusafisha Brand . Ningepata msee anaeza nisaidia na kuinvest angenihelp sana. Shukran
0