Niaje, naitwa Mercy, hustle ni kupika hapa Nakuru. Ukipenda kuona mapishi yangu, waeza nisearch Youtube kama Mercy's small kitchen.