Niaje naitwa Salome na nilimaliza chuo 2018 na mihukua fan wa shujaaz mbaya hakuna chapter hunipita.Tangu nimalize nilifungua job ya soko na ilikua inaenda poa lakini vile corona ilikuja vitu zimekua tough sana sikuhizi job haiko poa mboga ziudoz siku ata mbili sasa wasee hawaezi nunua ,napata hasara siwezi rudisha stock
0
0
0