
Niaje? Naweza kushow about HealthX Africa na benefits zake. HealthX ni digital health solution ambayo inafanya primary health care kuwa accessible, affordable, convenient, na equal kwa kila mtu. Na HealthX Africa, utapata access ya daktari kwa 24x7 kupitia video call, voice call, na live chat. Unaweza kutumia service hii kutoka popote, wakati wowote, na as many times as you need. Pia, HealthX Africa inakupa huduma ya whole person care, ikiwa ni pamoja na preventive, promotive, curative, na rehabilitative primary health care services.
Pamoja na HealthX Africa, utakuwa na medical history yako yote in one place na medical readings tracker kufuatilia metrics za health yako. Pia utaget alerts za dawa na appointment za hosi, na personalized health messaging na notifications. Hii service iko kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili, hivyo unaweza kuwasiliana na daktari wako kwa lugha unayopenda.
Kama wewe ni mtu ambaye anathamini primary health care services ambayo ni accessible, affordable, na convenient, basi HealthX Africa ni suluhisho kamili kwako.
Kama uko na maswali au unataka kujua more about HealthX Africa, wasiliana na mimi wakati wowote.
Asante kwa muda wako na kuzingatia.
NB; For Registration and Further details: WhatsApp or Call 0703754854



