
Niaje ndugu Hassan.. Nmeona kuwa Kuna vile una kuwa na shda na matatizo ku set up price zako...mmi ka msee wa biz naweza kusaidia na tools ama means mmi utumia kwa biz yangu ili nî set up prices zangu. 1.cost plus pricing:price una set up kulingana na vile izo books ama drinks pesa ulizi buy nazo na vile unaweza weka prices kwao na upate profit yako. 2.competitive pricing:apa una set up prices ka unajua uko na macompe apa kwa market . Ju c wwe peke yako unauza books ama drinks peke yako. Wasee nî wengi na wanauza similar products ka wewe. Sa una kuwa mjanja. Uweki doh mob kwa bidha zako. Uta tolewa kwa biz. Unaweka tu price poa tu yenye c mob sana. 3.value based pricing:apa sa una set up price kulingana na value ya bidha. Uwezi weka price mob kwa book/drink ju ziko na MA quality. Kuna zngne ziko na quality poa na zngne c poa vile. Sa unaweka price vle quality iko. 4. Psychological pricing:apa sa nî ujanjez. Apa unaweka price like ka drink e.g energy prices zao Sai nî 60 mob ka nko correct. Sa we unaweka 55 mob. Umejuwa iyo msee akiona ita mvuruta ama kum attract. Ju iyo price ime mu attract kwa kichwa ju Kila msee anajua kuwa price nî 60 bat sa wewe ume iweka 55.iyo Ata ka nî wewe c Uta enda apo ili ubuy iyo drink. Sa una set up price ku tumia psychology. Ju Iya trigger akili ya msee.