Niaje niaje i need help nimetumiwa doh na beshte yangu kutoka majuu through cash app na ni app haiko kenya kuna venye inaeza tumwa iende paypal from cashapp? ni 3,410$ wadau mnisaidie