Niaje niaje mi naitwa kago natokea ghetto ya lunga.so mih nlikua na kamradi ka kuku then juzi kukakua na outbreak zikakufa zote kuku 23 so nlikua nadai mnisaidie kuamsha mradi yangu tena coz saa hii situation niko ni ngori.mi ni youtman nadai kujijenga kimaisha nisiingilia crime life.
0
0
0