Niaje Niaje. Mimi Joe. Nadeal na online marketing ya Car Seat Covers. Biz ilikuwa fiti Hadi Covid 19 ikakuom. Ilibaki biz imefungwa juu macustomer hawakuwa. Ilifanya hadi kuget keroma ikawa tafasha joh. But Jah Jah. Ako tu na sisi. Pia nadeal na car wash hapa Pacho na bado biz iko down since story ya Covid 19 haijadedi. Wasee tutie to moral, bidii na kupray. Hustle itakuwa fiti with time
0
0
0