
Niaje, Niaje ππΎ,
Sisi hupimp manduthi depending on your style and taste ποΈ.
Ukitaka Graffiti, paint-jobs, kuekewa accessories kama lights, exhaust, ngoma, etc. Kwetu ndio hiyo placeππΎ
Ama ulicheki nganya kali kwa route yenu na unataka nduthi yako ipimpiwe in a similar fashion. Say no more, we got you!
Ours is where creativity meets originality. Our designs are fresh, kutoka jikoniπ₯π₯π₯.
Leta nduthi isukwe Leo!
Call 0713170497/0741595191 TODAY!!!

0
0
0