Niaje nilikua nauliza kama naeza pata mahali naeza pata loan kama ya 15k, nilikua nataka kuanza bizz ya kuuza viatu kutoka gikosh then I can pay the loan in 2 months.