
Niaje Sam, first uko na biz inarun pale kwa mall💪na ndio hii biz igrow utahave kufanya mambo mbili tatu hapa na pale ndio biz yako ipige hatua,,,,,, 1.Craft menu ya zile stuff unauza like hio popcorn 🍿 mabuyu na hizo dates alongside their prices so that customers wasishinde kuuliza unauzaje daily 😒ukiwa na menu simple customer mwenyewe atakuwa na easy time ya kuchagua kitu anadai conveniently. Pia hapo kwa Menu kutakuwa na a variety of maybe the flavours zenye uko nazo like Caramel, apple,ama hata strawberry 🍓 so from the Menu the customer will have an easy time to choose. 2.Inafaa ukuwe na supplier mconsistent so that usianze kurun out of products za kuuzia customers,,,,so huyu supplier anafaa akuwe readily available na zile stuff unadai ama service unataka kutoka kwake like,,,,mafuta, seasoning ya hizo popcorn 🍿 packages📦 za hizo stuff unauza ama hata ukiwa unadai service ya popcorn machine asikuwe msee ataanza kupea mastory na biz imesimama.
3.Ni fty kucompare prices zako na za competitors wako kwa hio field,, itakusaidia kujua how to sale your products without exploiting or getting into losses with your customers.
4.Kwa biz yoyote ni muhimu sana kucomply na gava,so ni very important kutafta business permits,licenses,food handlers certificate ndio pale kwa Mall usisumbuane na kanjo time wanatembelea biz za wasee pale kwa hustle.
5.World ya sai imekuwa digital sana,,,ni fty kuwa na strategies za kumarket biz yako like pale kwa Fb,IG, WhatsApp statuses, YouTube ama hata local audience ndio uget a high volume of customers,pia wale customers wako wa daily unaweza chukuafeedback