
Niaje Shally, Crowd ya Dandora Stadium huwa ni hyper na fanatical so there's no limit to your creativity.
- Dress kama hao mafans ukichapa mboka- vaa hizo jersey, colourful wigs, firimbi Kwa shingo na face-painting ya team popular Kwa uso.
- Hao majamaa huwa njaa!: Wengine hukam mguu kutoka far so uza snacks zenye zinashikilia tumbo- simsim na njugu, buns, cakes( kutoka light industry), soda, maji, maziwa(long-life), crisps za mhogo/ viazi( weka pilipili), uji-power , mahindi choma, etc.
- Unaweza uza merchandise ya kujitengenezea ka branded sun-glasses, firimbi, tai, vuvuzela, mini-flags, helmets, wide-brimmed hats, scarves kulingana na teams gani zinacheza mechi hiyo siku.
All the best Jaber👍🏽.



0
0
0