niaje ,so kwanza tambua buying price ya kila kitu ,second consider pia zile expenditure umetumia kufikisha izo stock kwa shop ,ndo usifinye customer Sana pia fanya research wasee wengine wanauza aje atleast kama ukibuy kitabu na 200 ipatie faida ya almost 90% of buying price ,
0
0
0