
Niaje. Sydney anafaa kujua ni wapi na akina nani atauzia. Place ya kuset biz ndio ya maana kushinda kufungua biz yenyewe. So afanye research kiasi akimaliza hio atafute supply yake. Anawesupply kwa churches ama restaurant. Incase hana physical shop anawezaset online shop.
0
0
0