Niaje team Mesh, nimekua hapa mjini Nairobi for a while , nasaka gig yoyote but sijapata , incase kuna msaa anaemploy kazi yoyote tuu anaeza ni link , nitashukuru