
Niaje #TEAMMESHERS Naitwa iano and Niko kawangware 46 coast, Niko na skills za front desk, cyber cafe, Movie Shop,Game lounge and pia I'm easy to coach so kama mtu akona hustle na anadai mseh honest wakumshugulikia biz, ndio huyu Mimi. Nipate whatsapp @0768900407/0113001086 Email@ iano.oyaro@gmail.com/oyaroian@yahoo.com Nitaapreciate ata kama nikushikilia Tu a few days. Shukran wote.
0
0
0