Niaje wadau, by the way hii story ya COVID-19 personally nimekua grounded kabisa. Am I the only one? Hustle zenu zimekua affected aje? Tujengane hapa Mesh. Tuinuane.. Tuchapiane kwa comments down below...