Niaje wadau. I get daily tips, in average ksh700 daily, na inakua tricky kusave. Mtu anaeza kua na ideas venye naeza save ama invest hii dooh anaeza niokolee sana.