Niaje wadau, mambo ya protests zimefanya customer turnout huku ikue low, last week sijauza bana, imekua tu kunoma, hopefully this new week mambo itarudi poa, nyinyi mkoje Kwa hustles zenu so far?