
Niaje wadau..Naitwa Derrick...relocated from kakamega to bungoma..nikipewa 10k kitu ya kuanza tafanya nikushikisha viatu za 6500 za mtumba kutoka kwa pedi wangu kule mtaani...I will hawk them for like 6months nikishikisha ma customers kwa kuchukua number zao za simu...ile profit napata I will majorly be saving ili within those 6months nikue na doo ya kushikisha rent ya kibandaski ambayo I will stalk my shoes.. Nitakua mfriendly to my clients ku make sure niko na personal touch with them ndo ni wa keep...najua I will have challenges since have been in this industry kwa mkondo ...I will gladly appreciate ka naeza angukia hiyo 10k and I swear in 2 to 3yrs takua mentor kwa vijanaa...thanks kwa chukua mda wako kupitia investment plan yangu..
0
0
0