
Niaje wadau? Tangu niwache shule juu ya fees sikufa moyo,,niliamua tu kujiari iliniweze kupata kakitu,,nilifanya side hustle ya kuchunga ngombe kwa jirani na siku hizi nimenunua wangu pia,,,sasa lengo langu kuu ni kujoint plant operator in future
0
0
0