Niaje wadau,tuko msimu wa mvua,nimejaribu hustle ya kuuza kahawa morning and evening, during the day I sell leg-warmers,sweaters,hoodies and coats,mnaonaje hii idea, for me inaniletea doh fiti wallae