
Niaje waJanjez, hope mko freshi Barida! Inakuwaje? Kama unadai ku-MOOVE, yaani kusonga kutoka mtaa uko hadi hood ingine, kwa shughuli za kuhama, kusafirisha mizigo within (Nairobi and environs) or without (to other counties/countries) I'm your guy...leteni bizna. Affordable rates, open to negotiations to accommodate your budget.




0
0
0