
Niaje wakuu Mimi natafuta any job, at least nipate kitu ya kujisaidia. Nimesomea general Agriculture but sai natafuta tu any side hustle. Please kama uko na mahali unaweza nisaidia nipate jon please nikonect my contact ndio hii hapa 0745267016. Nitashukuru watu wangu.
0
0
0