Niaje WanaMESH, mm pia n mgeni hapa but nimeona mukona ideas poa za biz lkn sasa shida n capital, can shujaaz open a randomly forum to help or lend us with capital (loans) then biz ikiiva unarudisha