Niaje wasee after how long ndio msee hupata loan mimi nili apply loan yangu in march wakakam kuvisit biz yangu this month .Kutoka wakam bado hawajanikol 3weeks zimeisha sasa.Sasa sijui sikuhizi kunaenda aje?Hebu niambieni vile kunaendaga
0