
Niaje Wasee, first time yangu kupost Kwa hii space nko thrilled and excited kukua apa hvi. I am a fashion designer me ufanya both Apparel and bags. I sew stories of style, sustainability and great craftsmanship. Ukiengage na product yangu yoyeto be sure utaget either a stylish product, a sustainable ama great craftsmanship piece or zote 3 in one piece juu ya hio story Acha ni seti sample mbili tatu maoni zitembee. Shukran wadau



0
0
0