
Niaje wasee hali saii Ni kunoma . currently niko Baringo nasaka any job opportunitity . Naeza piga works kwa any Field for example mjengo , farming shopkeeper naeza piga sales advertising naeza work kwa hotels pia niko computer literate communication skills Niko nazo pia Niko almost kumaliza course yangu ya degree in Economics pia kama uko na internship opportunity itakuwa poa .
Inbox me for any opportunity available
Namba Ni 0741710552
0
0
0