
🙌Niaje wasee! Intro-session ya Wednesday iliweza kabisa! Big up sana!
đź’ŞJenga Na Deloitte mentorship ni program fiti sana. Hapa tuta-learn, ku-network na ku-connect na wazito.
👇Usikose next session, prepare mapema! Pamoja Tejengane!
Join via Zoom: https://deloitte.zoom.us/j/...
Password: 339108
🤔Ungependa kulearn nini in Market Research? Tushow kwa comments!

0
0
0